Chorus
Tumeuona wema wako Bwana Mungu
Tumeuona wema wako Mungu wetu
Umetuonyesha mapito yenye haki
Tumeelewa na kufafanua mema
Ni wema - wa ajabu, ni pendo - pendo kuun(Pokea) Pokea sifa na shukrani zangu }*2
Verse 2
Ni wewe Bwana watupendanwatujalia mema mengi
Sifa na utukufu wake vimedhihirihswa
Bwana tunakushukuru
Verse 3
Na malaika wanaimba kusifu utukufu wako
Furaha imetanda kote furaha ya kweli
Bwana twakushangilia
Verse 4
Viumbe vyote vyakusifu, vyashangilia kwa furaha
Ni wewe Bwana ulinena navyo vikaumbwa
Bwana wastahili sifa
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.