SectionsPresentation of GiftsTunakuja Na Vipaji Vyetu

Tunakuja Na Vipaji Vyetu

Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

(Tunaleta) mavuno Bwana Mungu pokea.

Tunaleta na fedha, Bwana Mungu pokea.

Mkate na divai twakuomba upokee x2n

Verse 2

Tunakuja na vipaji vyetunmbele zako ee Bwana.

Tunatoa shukrani zetunkwako Baba muumba x2

Verse 3

Ni matunda ya mashamba yetu, uliotujalia.

Ndilo jasho letu sisi Bwana,

twakuomba pokea x2

Verse 4

Watumishi wako tunakuja,

na zawadi kidogo.

Twakusihi Mungu Baba,

pokea mikononi x2

Nafsi zetu zote mali yako, utupoke sisi

Ee Bwana utujalie afya uzima na Baraka x2

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.