Chorus
Twaeni mle wote (huu ndio mwili wangu)
Twaeni mnywe wote (hii ndio damu yangu)
Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi x4
Verse 2
Yesu, alitwaa mkate, akashukuru, akaumega,
akawapa wafuasi wake, akisema.
Huu, ndio mwili wangu, twaeni mle wote,
akawapa, fanyeni hivi,
kwa kunikumbuka mimi
Hii, ndiyo damu yangu, twaeni mnywenwote, akawapa, hiki ni kikombe,
cha damu yangun
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.