Twaja Mbele Yako

Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Twaja mbele yako na zawadi *2

Bwana pokea, Bwana pokea,

Twaja mbele yako na zawadi

Verse 2

Pokea mkate na divai *2

Bwana pokea, Bwana pokea,

Pokea mkate na divain

Verse 3

Nazo nyoyo zetu upokee *2

Bwana pokea, Bwana pokea,

Nazo nyoyo zetu upokeen

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.