Uhimidiwe
Nakutumaini wewe Mungu wa huruma
Naitumaini damu yako ilojaa upendo
Ninakuhimidi Bwana nakupenda sana
Ninakuhimidi Bwana Yesu maishani mwangu
Uhimidiwe - uhimidiwe wewe Bwana uhimidiwe *2
Unanipenda - uhimidiwe
Unanijali - uhimidiwe
Unasamehe - uhimidiwe na kutukuzwa aee
Kila ifikapo kumekucha mimi naamka
Riziki mtaani Bwana mimi natafuta
Chochote kila unanipa
Na hata kama ninakosa
Tamaa mimi sitokata
Uhimidiwe ee Bwana Yesu
Tazama na watoto yatima wanakulilia
Nao mama wajane nao wakusubiria
Tazama nao wazee
Tazama nao wafungwa
Tazama nao wagonjwa
Uhimidiwe ee Bwana Yesu
Oo Tuserebuke - tuserebuke tumtangaze ahimidiwe *2
Tuserebuke kwa shangwe na tuserebukenpamoja na tuserebuke ahimidiwe
Dunia nzima tuserebuke tumtangaze huyoo
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.