Chorus
Umsihi mwanao Yesu Maria asamehenmakosa yangu. Anitoe mashaka yote
Maria yaliyomo moyoni mwangu.
(Maria), Maria unisaidie, Maria (Maria)
uniokoe mimi mwanao mwenye dhambi *2
Verse 2
Nionee huruma Mama miminniliyemkosefu, mwili wangu ni dhaifu,
kwa sababu ya dhambi zangu
Verse 3
Na magonjwa niponye Mama kwa jinanla mwanao Yesu, naye Roho Mtakatifu,
aimarishe nguvu zangu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.