SectionsExitUmsihi Mwanao

Umsihi Mwanao

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Umsihi mwanao Yesu, Maria,

asamehe makosa yangu

Anitoe mashaka yote, Maria,

yaliyomo moyoni mwangu

Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe

Mimi mwanao mwenye dhambi

Verse 2

Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu

Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu

Verse 3

Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu

Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.