Umwema Baba

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Umwema Baba umwema,

umwema Baba umwema x2

Verse 2

. Ulifungua maji ya bahari ya shamu,

wanao wakapita katika nchi kavu.

Verse 3

. Ulivunja ukuta wa mji wa Yeriko,

wanao waisraeli wakapata ushindi.

Verse 4

. Ee Baba waokoa, ee baba unaponya,

ni wewe wainua hakuna kama wewe.

Verse 5

. Kwa kifo chake Yesu tumepatanwokovu, kwa damu yake Yesu sisintumekombolewa.n

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.