Unavyozidi Kukawia
LentThanksgiving
Chorus
Unavyozidi kukawia, kunisaidia Bwana,
Ndivyo na mimi, ninavyozidi kukutumainia wewe tu *2
Verse 2
Nimejaa dhambi, hivyo nafahamu,
Sistahili kuhurumiwa nawe
Verse 3
Ningekuwa mwema, ukelele wangu,
Ungefika masikioni mwakon
Verse 4
Ninavyojitahidi kukulilia,
Ndivyo ninavyozidi kuteseka
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.