Chorus
Uniondolee dhambi, nitakate,
unioshe niwe mweupe pe *2
Verse 2
Nakiri makosa yangu,
naziona dhambi zangu,
unioshe niwe mweupe pe n
Verse 3
Mimi kweli mkosefu,
tangu kuzaliwa kwangu,
mwenye dhambi tangu tumboninmwa mama yangu
Verse 4
Hivyo unafanya vyema,
wewe unaponihukumi,
una haki unaponiadhibu n
Verse 5
Wewe wataka unyofu,
ule unyofu wa ndani,
nifundishe hekima moyoni
Verse 6
Niumbie moyo safi,
na uweke ndani yangu,
roho mpya iliyo thabiti.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.