Sisi wana wa dunia tukumbuke manenonaliyosema Bikira Maria, alipowatokeanwatoto wa Fatima: Lucia, Fransisi na
Yasinta. (Alisema tusali, tusali rosari,ntupate a-amani,Na tuwaombee walenwakosefu, wasio na mwombezi.
Na wasio mwamini Yesu Mwokozi wamuamini ili waokoke) *2
Mama yetu anahuzunishwa sana, nanmatendo yetu maovu, anajua adhabunyetu ijayo, hivyo anaona huruma sana.
Atusihi tuache dhambi kwa dhati tuachenkumkosea Yesu, tuyatubu makosa yetu yote,nili Bwana atupatie amani.
Tusitende maovu na dhambi, atusihi
Mama wa Yesu, tusimkasirishe tena
Mungu asije tutupa motoni milele.
Ibada ya moyo saf wa Maria tuizingatiendaima, tuipokee kumunyo takatifu kilanjumamosi ya kwanza ya mwezi.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.