Verse 1
Shambani mwa Bwana, kuna kazi nyingi mbalimbali
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna
Chorus
Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda *3
Yesu Bwana ndiye mchungaji mwema
Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda
Verse 3
Aliwaambia wanafunzi wake wakahubiri Injili
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna
Verse 4
Na wewe ndugu usiyeamini unayetangatanga
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.