Verse 1
Utukufu juu kwa Mungu, na amani duniani
Kwa watu wenye mapenzi, kwanwatu wenye mapenzi mema
Wenye mapenzi mema
Chorus
Tunakusifu [Bwana] tunakuheshimu
Tunakuabudu tunakuabudu
Bwana tunakutukuza
Verse 3
Tunakushukuru Mungu kwa ajili
Ya utukufu wako mkuu
E Bwana ndiwe Mungu Mfalme wa milele
Verse 4
E Mwenyezi Mungu Baba Ewe Bwana Yesu Kristu
Mwana wa pekee wa Mungu,
Mwanakondoo wa Mungu, Mwana wake Baban
Verse 5
Unayeondoa dhambi, dhambi zote za dunia
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
Pokea ombi letu
Verse 6
Mwenye kuketi kuume kuume kwake Mungu Baba
Bwana utuhurumie, pekee yako Bwana
Ndiwe mtakatifu
Verse 7
Pekee yako ndiwe Bwana, pekee yako mkuu
Ee Bwana Yesu Kristu, na Roho Mtakatifu
Milele na milele
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.