Chorus
Waambieni watu walio na moyo wa hofu x2
(Jipeni moyo, msiogope (ogope)n[kwa maana]. Tazama Mungu wenu nakujankuwaokoa nyinyi ) x2
Verse 2
Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu (Nanfanyeni imara magoti yaliyolegea) x2
Ndipo macho ya vipofu yatafunguliwa
(Na masikio ya viziwi yatazinduliwa) x2
Ndipo na kilema atarukaruka
(Na ulimi wake bubu ndipo utakapoimba ) x2
Na katika nyika maji yatabumbujika,
(Na nchi yenye kiu itakuwa chemichemi) x2
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.