Chorus
Ukiona wawili wakitembea pamoja,
hao kweli wameamua waishi pamoja.
Kweli hawezi tembea pamoja,lnhawajakubaliana;nkweli (hawa, wamekubaliana waishi pamoja kwa upendo *2)
Verse 2
Tunamuona huyu ndugu, wameshikana na huyu dada;nwakitembea pamoja, (unyo unyo unyo unyo),
hawa kweli Bwana na Bi Arusi.
Verse 3
Mungu Baba awajalie, maisha mema katika ndoa;nwapendane siku zote, (pendo pendo pendo pendo),
vile wewe wpenda kanisa.
Verse 4
Ndugu mpende mke wako, vile Yesu apenda kanisa;nnawe dada mtii, (mume mume mume wako) mjenge familia pamoja.
Verse 5
Wape watoto Ee Mungu, kama pendo lako kwao;nnao waimbe nyimbo nzuri,(ti ri ri ri ri ri ri ri ri),
wakusifu milele yote.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.