Chorus
Wewe Bwana nguvu yangu nakupenda sana wewe
Bwana ni jabali langu ni jabali na boma langu na Mwokozi wangu
Verse 2
Mungu wangu Mwamba wangu ninayekukimbilia
Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
Verse 3
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
Hivyo nitaokoka na adui zangu
Verse 4
Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
Ampa wokovu mkuu amfanyia fadhili masihi wake
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.