SectionsExitWewe Bwana Nguvu Zangu

Wewe Bwana Nguvu Zangu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana *2

Bwana - ni jabali langu (na boma)

Na boma langu, boma na Mwokozi wangu

Verse 2

Mungu wangu Mwamba wangu ninayemkimbilia

Ngao pembe boma ya wokovu wangu

Nitamwita Bwana asitahiliye kusifiwa.n

Verse 3

Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu,

Ampa mfalme ampa mfalme wake mkuu

Amfanyia fadhili masiha wake.n

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.