Chorus
{ Ziliwatokea zilizogawanyika kama ndimi
Na kukaa ndani yao } *2
Verse 2
Wakajazwa Roho Mtakatifu,
Wakasema kwa lugha lugha mpyan
Verse 3
Wakanena maneno makuu ya Mungu
Wakasifu jina lake takatifu
Verse 4
Yatupasa nasi sote tuhbiri
Kama mitume walivyohubiri
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.