Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie,
Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie,
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie, n
Gloria
Glory to God
Chorus
Utukufu kwa mungu juu na amani kwa watu wenye mapenzi mema*2
Tunakusifu (ee baba) twakuheshimu (mwenyezi) twakuabudu tunakutukuza baba*2
Mungu mwenye kuziondoa dhambi setu utuhurumie baba pokea ombi letu*2
Ee baba mwenyezi yesu kristu ee mwanakondoo mwana wake baba*2
Uketiye kuume kwa baba mwenyezi utuhurumie baba ndiwe mtakatifu*2
Peke yako wewe bwana milele pamoja na roho mtakatifu amina*2